Inaonyesha kama unakula raha tupu bwana!!! Ngoja tu nitakuja hivi karibuni... verausgab Dich nicht allzu sehr damit Du noch genug Energie hast um mir alle neuen clubs zu zeigen ;) BTW, warst Du schon im Coco Beach?
mjibukweli - 23. Jan, 12:38
Eti bwana! Mimi si mlevi (bado!)
Njoo haraka mshikaji wangu, nakungojea sana! Mchagga ansema karibu sana kukaa nyumbani mwake. Lete theluji kwa mimi, jua kali kabisa. Jamani!
Coco Beach: Bado sijafika. Mahali pazuri?
Mlevi weee!!!
Eti bwana! Mimi si mlevi (bado!)
Coco Beach: Bado sijafika. Mahali pazuri?